Bob junior kwenye stage akiwaonyesha vitu vyake kwa wakazi waliofiki serengeti fiesta katika viwanja vya ccm kirumba mkoani mwanza.

AT naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walipanda katika stage ya serengeti fiesta mkoani mwanza katika viwanja vya ccm kirumba.
 
Mashabiki walikusanyika kwa pamoja katika serengeti fiesta mkoani mwanza viwanja vya ccm karumba.
         
      Roma mkatoliki akiwa na mashabiki wake katika serengeti fiesta mkoani mwanza viwanja vya ccm kirumba.
 
Professa jay ndani ya serengeti fiesta mkoani mwanza katika viwanja vya ccm kirumba.
 
Ommy D naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walikisanua katika stage ya serengeti fiesta mkoani mwanza viwanja vya ccm kirumba.
 
Mwasiti kutoka katika jumba la vipaji THT naye alikuwa ni moja kati ya wasanii ambao walikuwa wanatumbuiza katika stage ya serengeti fiesta mkoani mwanza.viwanja vya ccm kirumba tisha mbaya.
 
Bob junior tisha mbaya katika stage ya serengeti fiesta mkoani mwanza katika viwanja vya ccm kirumba
Axact

Axact

Vestibulum bibendum felis sit amet dolor auctor molestie. In dignissim eget nibh id dapibus. Fusce et suscipit orci. Aliquam sit amet urna lorem. Duis eu imperdiet nunc, non imperdiet libero.

Post A Comment:

0 comments: